Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Katika shirika linaloshangaza ni dawasco maji wanatoa siku moja au mbili kwa week lakin bado nako kumewashinda je wangetakiwa kutoa maji 24/7 kama wafanyavyo miji mingine
Napokaa hapa maji mara ya mwisho kutoka ni jumapili ile iliyopita sio hii ya juzi ukimuuliza engineer wa dawasco ni ahadi tu uongo meneja wa dawasco anakushauri ununue maji unajiuliza huyu anajua wajibu wake kweli
Tanzania huu ujinga sisi wananchi ndo tunaoulelea na hutakaa uishe tukiendelea kuwa makondoo inakera na kuuzi sana
Kuna msemo wa kingireza unasema, "The dangerous party of excuses is that alot of them make senses, at the same time it pave the way for mediocre"
Ndo wanachofanya dawasco hawakosi sababu ila wanaumiza wananchi