teri22
Member
- Aug 13, 2015
- 12
- 12
Kwani what happened na Dawasco?
Maji huku Mbweni JKT hamna tangu last week. Ukipiga Customer Care, hio lugha ni ishara tosha kuwa huduma mbovu. Huyu dada wa customer care kasema tu atamwita Engineer na wala hakupi ticket namba na ameshakata simu.
Wakuu wa DAWASCO hebu tupieni jicho hizo huduma na watu wawajibishwe pale hawatoi msaada au huduma sahihi.