B bajosons New Member Joined Aug 4, 2025 Posts 4 Reaction score 2 Aug 29, 2025 #1 Kumekuwa na tatizo la watu wa DAWASCO kuchimba mitaro na kuiacha kwa kipindi kirefu. Mtaani kwangu njia panda ya Segerea tuna wiki mbili wamechimba na hakuna kingine kimefanyiaka, hii ni kero sababu tunashindwa kutoa magari na kuingiza ndani.
Kumekuwa na tatizo la watu wa DAWASCO kuchimba mitaro na kuiacha kwa kipindi kirefu. Mtaani kwangu njia panda ya Segerea tuna wiki mbili wamechimba na hakuna kingine kimefanyiaka, hii ni kero sababu tunashindwa kutoa magari na kuingiza ndani.
Mwanamwana Platinum Member Joined Aug 1, 2011 Posts 9,604 Reaction score 22,722 Aug 29, 2025 #2 Weka hata picha tuone huo usumbufu. Ila inaudhi watu wanachimba mtari na kublock njia za kuingia mtaani au hata getini kwako then wanasepa.
Weka hata picha tuone huo usumbufu. Ila inaudhi watu wanachimba mtari na kublock njia za kuingia mtaani au hata getini kwako then wanasepa.
M muhibu saidi Member Joined Jan 24, 2014 Posts 17 Reaction score 23 Aug 29, 2025 #3 Njiapanda ya Segerea upande gani DAWASA wamechimba? Pia itapendeza sana ukiweka picha mkuu.