DAWASCO wanakwamisha ilani

DAWASCO wanakwamisha ilani

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2016
Posts
6,974
Reaction score
8,750
DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025.
Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na CEO bado anachekelea kwenye V8, full kiyoyozi.
**** Na OPRAS anajaza kila Quarter.
NB: Enzi za Mwamba huyo boss angekua ashatumbulia akisubiri matokeo ya tume akiwa mtaani, kachakaa
 
DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025. Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na CEO bado anachekelea kwenye V8, full kiyoyozi. Na OPRAS anajaza kila Quarter
Mambo mengine ya kitaalamu hayahiyaji siasa boss
 
DAWASCO wanakwamisha utekelezaji wa ilani kwa kutokusambaza maji kwa kila Kaya kabla ya 2025.
Pia, wanafurahia mgao wa maji, haiwezekani jiji la Dar es Salaam likose maji kwa siku7 mfululizo na CEO bado anachekelea kwenye V8, full kiyoyozi.
**** Na OPRAS anajaza kila Quarter.
NB: Enzi za Mwamba huyo boss angekua ashatumbulia akisubiri matokeo ya tume akiwa mtaani, kachakaa
Mtu kama huyu akitumbuliwa inaonekana raisi mkatili! Haikubaliki week nzima watu wakose huduma muhimu ya maji!

Boss yeye anainjoy tu kuna haja hizi nafasi za serikali ziwe wito kama ualimu watu wakianza kulipwa laki 3 akili zitawakaa sawa!
 
Back
Top Bottom