Hbr wa na jamii ,Nina omba Kama kuna mtu anaejua sababu ya maji kutokutoka maeneo mengi ya kinondoni kwa wiki 3 sasa anieleze ili Nijue tu,au ni Yale madai Kuwa wanafanya hivyo hawa Dawasco ili Wauze maji ya visima vyao,ni kero kwakweli maana bili zinakuja za juu kuzidi hata zile za Wakati maji yapo.Jamani inchi Hii Ndio mashirika yote ya aelekea ukingoni hivi hivi?Dawa Yao Hawa wangepate washindani ili watu tupate Uhuru wa watu kampuni ipi ukapate huduma ya maji maana sahiz hata ulkilalamika hamna msaada maana lazima Utachukua huduma kwao tu,inaniumiza sana tu.