Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
-
- #21
Aloooh, kichwa kimechangamka na mambo yetu yaleeeee π πUlivyonidaka juu juu nyoko weeh πΉπΉπΉ
Wahenga hawaamini uchi sijaficha na kuzaa sijazaa πΉπΉπΉAloooh, kichwa kimechangamka na mambo yetu yaleeeee π π
Ngoja ninyamaze, nisije na mimi bahati mbaya nikamtaja wangu ikawa sooo!
Juisi ya tende na kulala kwenye sentensi moja?Nime ning'iniza tu pumbu zangu juu ya kochi hapa, huku napiga juice ya tende nilale zanguπ π π
π π .. Unataka nifundisha nini hapa head master wanguJuisi ya tende na kulala kwenye sentensi moja?
2026 ndiyo imeanza na wahenga wameshakuchoka πWahenga hawaamini uchi sijaficha na kuzaa sijazaa πΉπΉπΉ
Watajiju wapambane na kodi na tozo πΉπΉ2026 ndiyo imeanza na wahenga wameshakuchoka π
Grazie, buon anno anche a te πππ«felice anno nuovo Binti wa zamani
Udugu leo umechangamka, nakupenda mwaya. Happy new year!Watajiju wapambane na kodi na tozo πΉπΉ
Mambo yangu waniachie mwenyewe..!!
New year nimeikaribisha kwa kuoga na kutoa mikosi yote ya 2025 πΉπΉUdugu umechangamka, nakupenda mwaya. Happy new year!
π πAliyesema 2025 atakuwa boss amevuka na Mia tatu
Tumsubir na 2026 kama ataropoka tena
ATASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, yule mtu akijua aliyoyakosa leo, atalia!New year nimeikaribisha kwa kuoga na kutoa mikosi yote ya 2025 πΉπΉ
hahahah dah! Nimecheka balaa!.Aliyesema 2025 atakuwa boss amevuka na Mia tatu
Tumsubir na 2026 kama ataropoka tena
Aje wapi? Lione kwanza πΉπΉπΉATASAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA, yule mtu akijua aliyoyakosa leo, atalia!
makaveli10 njoooo!
Sio kwa kubinuka huko mwanakwetu π πAje wapi? Lione kwanza πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ Mmbea wewe, unajifanya bingwa wa kuzoom?Sio kwa kubinuka huko mwanakwetu π π
Aiseeh, ule udongo wa kwanza wote uliishia kwako!
Nimezoom mpaka hiyo human hair π aroooh!πΉπΉπΉ Mmbea wewe, unajifanya bingwa wa kuzoom?
Wapi huko chino naye aje kuzoom.πΉπΉπΉ Mmbea wewe, unajifanya bingwa wa kuzoom?