Mkuu nendeni ikulu sisi hutu tunawakilisha vyema mno. Subiri patulie nitaleta kila kitu.Usitutishe na maji ya kuwashawasha sisi wenyewe tunakula UGali na pilipili kila siku
Hii ni wakati wa msiba wa Rais wa Awamu ya 5 John P. Magufuli
Na ndio tafsiri ya wafanyakazi kuambiwa wasiende makazini. Muda huo mkaungane na wengine mkakomboe nchiYaani ili kulimaliza jambo ni kwenda wengi
Mkuu nendeni ikulu sisi hutu tunawakilisha vyema mno. Subiri patulie nitaleta kila kitu.
Mpo pande zipi?Mkuu nendeni ikulu sisi hutu tunawakilisha vyema mno. Subiri patulie nitaleta kila kitu.
Kanda ya ziwa huku. Tulieni kwanzaMpo pande zipi?
Yuko wapi Lucas Mwashambwa na nyuzi zakeMAELFU ya watanzania kutoka Mbezi jijini wanaelekea IKULU muda huu.
Madai ya waandamnaji, Matokeo ya uchaguzi yafutwe, KATIBA MPYA, Waliotekwa waachiliwe huru, Tume huru ya uchaguzi na utawala wa Haki.
Video hii ni ya asubuhi ya leo:
View attachment 3496243
Leo, wanajeshi wameonekana kuendelea kulinda wananchi
View attachment 3496246
Sinza hali iko hivi:
View attachment 3496252
Yuko wapi Lucas Mwashambwa na nyuzi zake