M Mwanasazi JF-Expert Member Joined Aug 5, 2012 Posts 239 Reaction score 56 Dec 12, 2012 #1 Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya wastani, ili nimpeleke hapo, ahsanteni wakuu
Wakuu wa jamvi naomba msaada, nina mtoto wangu wa miaka 2 nataka nimsajili day care yoyote hapa dar es salaam naomba mnisaidie kunijuza ni day care ipi nzuri na ni english medium na ada yake ni ya wastani, ili nimpeleke hapo, ahsanteni wakuu
Nyakageni JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 15,045 Reaction score 5,108 Dec 12, 2012 #2 Asiwe bweni tafadhali
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Dec 13, 2012 #3 Day care zipo nyingi mkuu! Fanya research kwanza kisha ukiriziki mojawapo mpeleke akapige kitabu.