Nafikiria kuanzisha day care hapa Dar lengo hasa likiwa ni kwa ajili ya watoto ambao hawajaanza shule.
nimepata tu wazo ila kwa kweli sijui ni wapi ntatakiwa kuanzia namaanisha kwa vitu kama kujua mambo gani ya muhimu ya kuzingatia,leseni,location,changamoto na mtaji wa kuanzia unawezagharimu kiasi gani?Je inaweza kunilipa hii?
nakaribisha mchango wenu wanajf
Dah hilo bonge la wazo, dah ukiazisha hiyo kwanza ni mpya kwa bongo then itakuwa nzuri sana mana now watu wengi wanaacha watoto nyumbani mchana wanatoka kazini wanakwenda kuwanyonyesha.lakini wakiwa town watoto itakuwa simple sana mzazi kuja kumnyonyesha then anarudi kazini jioni anampitia dah bonge la wazo hilo.ila mtaji mzeee mana ili upate wengi iwe town.
Dah kumbe wako watanzania wabunifu tatizo mtaji
Thanks waberoya,you real have a good point.nashukuru sana kwa mchango wako