Ameanguka babeliDuh
Babeli
mbona barua kama kaandika mwenyewe hiyo huyo kalikawe?Wakuu,
Wapanga mipango ni chawa unategemea kutakuwa na ushauri wa maana hapo kwenye jinsi ya kufanya mambo? CCM mnataka kuleta vita watu tuanze kuviziana!
=====
YAH: TAMKO LA KKKT DAYOSISI YA KARAGWE KUHUSU VITISHO DHIDI YA MKUU WA DAYOSISI
Wapendwa waumini wote, salamuni katika jina la Bwana Yesu mfufuka!
Ofisi yangu imekuwa ikipokea simu nyingi za pole kufuatia uwepo wa taarifa za vitisho kwa Mkuu wa Dayosisi yetu, Askofu Dkt. Benson Kalikawe Bagonza. Simu hizo zilitaka kujua hali ya Mkuu wetu. Hivyo, nalazimika kutoa Waraka huu kwenu wenye tamko la Dayosisi kuhusu taarifa hizo.
Pia soma Pre GE2025 - Askofu Bagonza: Nimepokea taarifa kuwa 'Wasiojulikana' watakuja kunimaliza
KKKT Dayosisi ya Karagwe imesikitishwa sana na taarifa ya vitisho vya maisha alivyopokea Mkuu wetu wa Dayosisi, Askofu Dkt. Benson Kalikawe Bagonza. Tayari Baba Askofu ameeleza vitisho hivi wazi kupitia ukurasa wake wa Facebook Mnamo Mei 8 mwaka huu 2025.
Tunalaani vikali vitendo hivyo vya vitisho kwa Mkuu wetu na kwa watu wengine vinavyokwenda kinyume na maadili, utu, na haki za binadamu.
Tunaendelea kushirikiana na vyombo vya dola kuhakikisha kwamba usalama wake na wa wafanyakazi wote unalindwa ipasavyo.
Wana Dayosisi ya Karagwe, tunasimama imara naye katika dhamira ya kuwahudumia watu wote na kuwasemea wasio na sauti ya kujisemea.
Tuna imani na mamlaka za usalama kuchukua hatua stahiki kuhakikisha wote wanaojihusisha na vitendo vya kutisha watu na kuleta taharuki wanashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Tunaendelea kuwahimiza wanajamii wote kuliombea Kanisa na Taifa kwa ujumla na zaidi kuendeleza mazungumzo ya kujenga, yenye heshima na yenye lengo la kudumisha haki na amani katika taifa letu.
"Wakinyamaza hawa, mawe yatapiga kelele" (Luka 19:40).
Nawatakia Baraka za Mungu,
Wakuu,

Regime inapofikia mwisho huwa inakuwa hivi kuua kupoteza na huanza kuwapiga viongozi wa Dini halafu ndio chali miguu juu.CCM na Serikali yao wameamua kuwadhuru na kuwapoteza Maaskofu na Watumishi wa Mungu.
Tupo hapa tumekaa.
Nadhani viongozi wa Kikristo wafike mahali wasome Biblia vizuri kuna kitu kinaitwa kufa kwa ajili ya Kristo ndio Biblia inataka hayoWakuu,