Daz Baba amgundua mchawi wake

Sijawahi kuona picha ya daz akicheka au kutabasamu pozi ni hili la kigumu wakuu mwenye nayo naiomba
 
Kila mtu aweke madhaifu yake kabla ya kumchoma Daz baba.

Mimi nakula mmea muda huu, haya na nyie wenzangu?
 
Ulitamani/Kujisikia Kumsaidia!?

Unapiga nae???
Hapana sipig nae ila vijiwe vyake na kampani yake wengi nawafahamu

Ishu ya kumsaidia kwa mim ilikua ni ngumu yule ameathirika kisaikolojia nilivomuona anahitaj msaada wa wataalamu wa mambo ya saikolojia kwa kuwa alikuwa mtu mwenye jina sasa hana jina wala fedha nahis imemuathir kwa namna moja au nyingine
 
tatizo wabongo tunapenda kudanganyana alafu ndio tunapotezana.....wote tunajua tatizo la Daz Baba ni kubwia Unga.

Cha Ajabu huyo muhandishi anamsikiliza anavyojieleza alafu anakwenda kuandika hivyo hivyo badala ya kumchana ukweli jamaa aache Unga.
 
Ngada ni mbaya sana ,inasababisha unapiga hatua moja mbele lakini hatua tano nyuma.
 
tatizo wabongo tunapenda kudanganyana alafu ndio tunapotezana.....wote tunajua tatizo la Daz Baba ni kubwia Unga.

Cha Ajabu huyo muhandishi anamsikiliza anavyojieleza alafu anakwenda kuandika hivyo hivyo badala ya kumchana ukweli jamaa aache Unga.

Hivi unga unaachwa kwa kuambiwa ACHA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…