Daz Baba: Nina uwezo wa kutengeneza bunduki

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana

Husika na kichwa cha habali hapo juu

Habali kamili

Msanii daz baba kutoka daz nundaz ambalo ni kundi lililopata kutamba hapo miaka ya nyuma amesema tofaut na muziki pia ana uwezo wa kufanya biashara kubwa na ndogo ndogo pia ana uwezo wa kufanya kaz viwandan lakin fan yake kubwa zaid ni kutengeneza bunduki na risasi

Hivyo amemuomba rais magufur amusaidie kufungua kiwanda cha kutengeneza bunduk na risas

Nipe maon yako mdau kuhusu hilo la daz baba

Nawasilisha

LONDON BABY
 
Uwezo wa kutengeneza bunduki na vifaa vingine upo kwa watanzania wengi. Kilichopo in rais kutamka hadharani kuwa " Kila mwenye taaluma yoyote aende kwa mkuu was wilaya ajiorodheshe ili asaidiwe."
Kama kiwanda kitakuwa chini ya usimamizi imara was serikali, afunguliwe tu aoneshe makeke yake. Hii si longolongo maana ni kwa vitendo.
Kwa njia hii tutapata wataalamu wengi
 

= habari
= habari
= Magufuli

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Anatafuta kiki kwa pkpk,au virungu kwa mapolice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…