DC Ally Happi Akuna na Kazi ya Kiba. Aahidi kutoa zawadi nono kwa kiba

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Hii kazi imewaibua watu maarufu hapa nchini akiwemo Makonda na Jakate na na sasa Mkuu Wa Wilaya ya Kinondoni ambaye ameahidi kutoa zawadi kwa Ali kiba kwa kazi nzuri iliyotikuka. Seduce team Domo
 
Ali Kiba asiingie kwenye mtego wa hao watafuta kick kwa piki piki.

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…