kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Leo 17 October 2020 kimekaa kikao cha washili wa koo zote Meru kilichoitishwa na Mshili Mkuu wa Wameru, Ezron.
Mualiko huo ulikuwa ni kukutana katika eneo maarufu la Mringaringa.
Cha ajabu mada zilizo kuwa zina jadiliwa ni kinyume kabisa na mila na desturi za wa Meru.
Mada kuu ilikuwa ni washili wote wakampokee Dkt. Magufuli kwa masale pia wamuombe msamaha eti Wameru awakumchagua 2015.
Baadhi ya Washili wamesikitika sana kwa kulazimishwa mambo ambayo ni kinyume na mila na desturi.
Mkuu wa Wilaya anamtumia Mshili Mkuu kufanya mambo ya ajabu sana. Anaua mila; mila inadharaulika; mila haina thamani; mila sasa imekuwa kuiabidu CCM.
Ezron umefanya mila za Kimeru ziwe za wahuni badala ya wazawa mila ilikuwa ni kusimamia haki, sio kupamba chama.
Wameru tunasema hizo elfu 10 na masale mtakayobeba, sio kwa ajili ya wana Meru, ni kwa ajili ya matumbo yenu.