Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Halo JF siasa.
Mkimbiza mwenge Kitaifa 2018 Engineer Charles Kabeho ambaye sasa ni DC Chato, ana uhusiano wowote na waziri wa zamani wa Elimu, hayati Charles Kabeho?
Ni machenical engineer, sasa ukimuita tu Engineer unakosea sana.
Acha kupotosha watu. Sio mechanical engineer. Ni Civil Engineer na alikua anafanya kazi Serikalini Dar Es Salaam (sitotaja ofisi yake ya zamani mpaka ikinibidi).Ni machenical engineer, sasa ukimuita tu Engineer unakosea sana.
Akiyekuwa Chato kapelekwa huko, ni kubadilishana kama ilivyotangazwa mwezi mmoja uliopitaNa DC wa Tarime ni nani?
Kula like zanguYupo sahihi. Ni Eng. Charles Kabeho. Haitakiwi ku_specify kuwa engineer wa aina gani. Ni sawa na madaktari, unapomtaja jina unatanguliza tu Dk. au Dr. bila kujali ni daktari wa aina gani.