johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.
Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama makini kama CCM katika kutatua kero za wananchi na kuwatumikia.
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!