Egnecious JF-Expert Member Joined Jul 8, 2015 Posts 880 Reaction score 971 May 2, 2016 #1 DC HAPI NDANI YA HOTMIX SAA 1:30 USIKU LEO Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi atakuwa katika kipindi cha Hotmix cha EATV usiku wa leo akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo wilaya ya Kinondoni.
DC HAPI NDANI YA HOTMIX SAA 1:30 USIKU LEO Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mh. Ally Hapi atakuwa katika kipindi cha Hotmix cha EATV usiku wa leo akizungumzia mambo mbalimbali yahusuyo wilaya ya Kinondoni.
sifi leo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2012 Posts 5,182 Reaction score 8,948 May 4, 2016 #2 adithi iyo inatufundisha nini?