Kumbe Bwana DC Bomboko una kazi nyeti ya kuwasaidia wafanyabiashara wa hapo Simu 2000 badala yake unakimbilia kuwaandama mabinti wanaotoa burudani mjini!
Ona sasa ulivyozomewa na kudhalilishwa leo! Uliwapuuza wafanyabiashara muda wote waliokuhitaji badala yake ukawa unazurula usiku kwenye maeneo ya burudani kuingilia starehe za raia wema!