Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo amewatuliza wafanyabiashara zaidi ya 800 wanaodai majina yao hayamo kwenye orodha ya watakaorejea katika Soko la Kariakoo, walioandamana hadi ofisi ndogo za CCM Lumumba.
Amewaahidi kesho Julai 12, 2024 watakutana na Mkuu wa Mkoa kwa ajili ya kujadili suala hilo.
Pia soma: Mgomo wa Wafanyabiashara: Biashara zafungwa Kariakoo leo Juni 24, 2024
Wafanyabiashara hao ni miongoni mwa waliokuwa wamehamishiwa kwenye masoko mbalimbali baada ya Soko la Kariakoo kuungua, kupisha ukarabati na ujenzi wa jengo jipya la ghorofa sita.
Pia soma: Waliokosa vizimba soko la Kariakoo waandamana kwenda ofisi za ccm Lumumba!
Soko la Karialoo liliungua Julai 2021 na kuteketeza mali karibu zote za wafanyabiashara na kutokana na hilo, Serikali ilitoa zaidi ya Sh28 bilioni kwa ajili ya kulikarabati na ghorofa lilipokuwa soko hilo dogo na lile la wazi.