DC Japhari Kubecha anaenda kusikiliza Kero huku iliyopo mbele yake Hajaitatua

Vedasto Prosper

Senior Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
103
Reaction score
54
Mkuu wa Wilaya ya Gairo Japhari Kubecha akiwa njiani Kuwafikia wananchi wa tarafa ya Nongwe kata ya Mandege ili kuwasikiliza kero zao na kuzipatia utatuzi.
Your browser is not able to display this video.

MY TAKE;

Sikuona sababu ya kusema anaenda kusikiliza Kero. Sababu kero ya Barabara kashaiona. kwa miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika, hii barabara ndo imekuwa kero kubwa Mandege. Lakini bado anasema anaenda kusikiliza kero..

Wanasiasa wa Tanzania wanahitaji maombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…