DC Jerry Muro hongera kwa kuanzisha English Medium School Arumeru

Tanzania ni ndogo sana ukidanganya ujue kuna watu wanakuchora Mkuu.

Kama unaongelea ile ChemChem Primary wazazi wamewaambia mkasomeahe watoto wenu hawawezi kulipa ada ya laki 5.

Mama Kuku mmemfanya nini hivi?, na vipi mchango wa Rotaty International pale?.

Kwa taarifa current wameona iyo shule bora wafundishe kiswahili tu, kwanini? Waalimu mmekosa au?

Mkuu naomba usipotoshe ujue watu wapo Tz nzima usije muaibisha Mheshimiwa DC
 
Shule yake binafsi? Na Jerry ni Mlokole? Nimesoma naye Junior Seminary Jerry na pia nimekuwa naye siku za karibuni hapa Dar na kule Arusha! Kama ule nilioushuhudia kwa macho yangu ni Ulokole basi njia ya kwenda mbinguni imekuwa pana badala ya kuwa nyembamba
 
Huyu yuko payroll ya Jerry Muro......salaam kwake hana jipya wala makeke tena kimyaaa
 
MATAGA hamueleweki. Nyie mnataka kukienzi kiswahili au lugha ya mabeberu iliyokuja kwa majahazi? Siku nyingine ukiandika vitu vya kusifia mabeberu uwe unaandika kwa lugha yao ili wakuelewe. Wanaweza kuleta posa wakuoe kabisa
Hata zamani kulikuwa na shule chache za mchepuo wa kingereza.
 
Na magufuli vipi asipongezwe kwa kuanzisha somo la historia ya Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…