DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

DC Jokate: Mikopo kwa wamachinga

JUMA JUMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
790
Reaction score
964
DC JOKATE: MIKOPO KWA WAMACHINGA

"Kuhusu Machinga tunashukuru tumeendelea kushirikiana vizuri na Viongozi wetu wakaeleza maeneo fulanifulani ambao walikuwa wanahitaji tuangalie kwa jicho la tatu, zoezi linaenda vizuri tumefufua masoko ambayo yalikufa"

"Tumeielekeza Manispaa kwamba walioingia maeneo rasmi tuwaangalie kwa jicho la kipekee tuwapelekee huduma za mikopo ili waone faida ya kwenda kwenye maeneo ya Serikali na haya ni maelekezo ambayo nayatoa nategemea yafanyiwe kazi Manispaa waende kwenye masoko na kuangalia namna bora ya kuwaongezea mitaji Wamachinga"
 

Attachments

  • VID-20211027-WA0067.mp4
    2.6 MB
Kuna watu watakosa usingizi haki ya Mungu nawaambia......maana kila siku matarajio yao yanaenda tofauti
 
Huyu mrembo asiwape mbwembwe na matumaini machinga siku zote hawakuonekana hao machinga.
 
Back
Top Bottom