DC Jokate: mwanamke wa nguvu,

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Ukiachana na yaliyopita kipindi cha mwanzoni wa ujana wake, DC jokate wa wilaya ya kisarawe ni mwanamke shupavu sana, anajua kujiongeza na hakika atailetea maendeleo kisarawe, ningekuwa ni raisi basi ningemkabidhi mkoa mzima wa pwani autemdee haki, kisarawe peke yake haimtoshi,

Ni mixer ya charismatic and democratic leader, anajali na wala humsikii akigombana na watu yeye kwake ni maendeleo tuu, goal yake kubwa ni kutokomeza zero kisarawe anafanya makubwa sana kwenye sekta zote hasa kipaumbele chake kikiwa ni elimu kwa watoto wa kike, siku hizi ngoma zimepungua kisarawe

Mh. Raisi nakuomba basi zero zikitokomea utuletee huyu mwanadada atusaidie na hapa dar es salaam, makonda atafaa sana kisarawe
 
Tuwage fair ndugu zangu, hivi anachofanya Huyu dada Jokate kwAni wakuu wa Wilaya wengine hawafanyi?

Wanafanya sana tena si ajabu wanafanya vizuri kuliko huyo dada sema tu yeye kila wakati media inamumlika na yuko jirani na 'mjini' na kaumaarufu kake nako kanambeba.

Kinyume na hapo hana utofauti wowote na maDC wengine.
 
Vp anawasaidiaje watoto wa kike waliopata mimba haki yao ya kupata elimu
 
Aaah maisha haya bila kubebwa mwanamke ngumu sana kuwa shujaa.Ila nandy alijuaga kutudanganya eti power of music,binti wa shoka asiyebebwa kumbe nyuma yake yupo jasiri muongoza njia aiseeee opsss kumbe uzi unamuongelea jojo [emoji125][emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aaah maisha haya bila kubebwa mwanamke ngumu sana kuwa shujaa.Ila nandy alijuaga kutudanganya eti power of music,binti wa shoka asiyebebwa kumbe nyuma yake yupo jasiri muongoza njia aiseeee opsss kumbe uzi unamuongelea jojo [emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anastahili kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar..
 
Mkoa wetu wa Dar mara nyingi unapata wakuu vichwa maji, sijui kwa nini lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…