DC Jokate Mwegelo: Namuunga mkono Rais Samia 2025

Mhe. awe anatanguliza kwa kusema Mungu akipenda namuunga mkono Rais Samia 2025.

Mhe. Rais akumbuke bado ana miaka takribani 4 ya kuongoza, itategemea nini amewafanyia Watanzania na pia akumbuke CCM ina wenyewe
Kweli miaka 4 ni mingi, kulikuwa hakuna haja ya kutangaza nia, lakini nadhani kipo kitu kinafukuta chini ya carpet akaona ni bora akizime mapema sana before it's too late, ngoja tuone !!
 
Jokate ana kiherehere, DC hutakiwi kutamka tamka hivi, kwani si kila mtu kasikia Mh. Rais kasema nn.
 
Yaani badala ya kuumiza kichwa kuondoa hizi tozo za kwenye miamala, Luku na nyinginezo nyie mko bize na urais wa 2025. So far hakuna legacy yeyote ambayo wananchi wanaweza kuona for the past 6 months...
 
Shame on her ubaya wa viongozi wa kiafrica wanawaza uchaguzi na madaraka na kusahau kudeal na challenge zinazowakabiri wananchi hivi kweliii leo 2021 unawaza uchaguzi wa 2025 kweliii
Alafu amesahau kuwa pumzi tunapewa kwa kudra badala ya hata aombe uzima Sasa hiyo pumzi mwenye nayo akiichukua asisahau Kuna kulala akaamka na kunakulala yoooo
 
Kwani mzee pole pole yeye anasemaje? Ah Kumbe ni kijana
 
Kwani uchawa unataka vyeti basi??????
 
Unajua mkia wa kondoo
Huu unacheza kushoto na kulia
Unajaribu kwenda na hali iliyopa
 
Kama 2025 ndo anawekwa Rais mwanamke, Mbona hatukuambiwa mapema kuwa Rais aliyepo sasa ni wa mpito?
 
Samia mwaka 2025 ndio ataanza awamu yake ya kwanza ya vipindi viwili, yaani mpk mwaka 2035
 
Reactions: Ame
Ili nchi iendelee inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Uongozi bora ndio tunachokosa Tanzania 🇹🇿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…