Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Mh Jokate ndo kwanza una wiki ya kwanza kwenye wilaya hii baada ya uteuzi. Nakushauri ungeanza kujikita na kufanya assesment ya matatizo mbalimbali kwenye wilaya yako na kuyatafutia tiba. Instead umeanza na ileile tabia yako ya kujibrand ili uonekane.
Kumbuka hizi ni zama za Samia Suluhu Hassa siyo za JPM. Kuna watu wanapiga kazi huko kama kina Mtaka, Kina Mtatiro na huwasikii na hizi ishu za kujitengenezea brand.
Tumesikia jana tu Mh. Rais ametuangazia kuwa kuna wagonjwa wa COVID , lakin pia tuna taarifa ya wimbi la tatu la ugonjwa huu.
Tumeona pia wizara ya afya ikianza kusisitiza hatua za kujikinga na ugonjwa huu ikiwemo mikusanyiko isiyo na lazima.
Tambua wewe ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya, ungeanzia huko kwanza kuliko kutengeza mikusanyiko isiyo ya lazima na michangomichango ya charity kwa ajili ya kugain popularity.
AWAMU HII SIYO YA MEDIA, TUPIGE KAZI NA TUONGEZE TAHADHARI DHIDI YA UVIKO-19