Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate akisimamia zoezi la kuhakikisha watumiaji wa Vyombo vya usafiri wa umma wanavaa Barakoa ili kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19. Pamoja na utekelezaji wa Maelekezo ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Amos Makala ya kuhakikisha Wananchi wanachukua Tahadhari ya Ugonjwa huo.
Watu hawawezi kujikinga dhidi ya kitu ambacho hawana za uwepo wake.
Watu hawaamini kama kuna uviko Tz kwa vile taarifa zinafichwa fichwa. Labda wanafamilia husika ndio wanajua huyu ndugu yeti kwa dalili zile itakuwa kafa kwa UVIKO.