johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini Richard Kasesela amesema ni kosa la Uhujumu Uchumi kwa mtu yeyote mwenye mtaji unaozidi shilingi milioni 4 kutumia Kitambulisho cha mjasiriamali.
Kasesela amesema serikali mkoani Iringa itafanya ukaguzi kwa wajasiriamali wote na wale watakaobainika mitaji yao ni zaidi ya sh milioni 4 watapelekwa TRA wakalipe kodi yote waliokwepa.
Wale watakaoshindwa kulipa kodi watashtakiwa mahakamani kwa kosa la kukwepa kodi ambalo kimsingi ni uhujumu Uchumi amemalizia DC Kasesela.
Source Clouds tv habari!