DC Kilakala asema Samia Cup imehamasisha wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa

DC Kilakala asema Samia Cup imehamasisha wananchi kushiriki kwenye kujiandikisha Uchaguzi Serikali za Mitaa

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Ni humu tuu...

===

Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala amepongeza na kuyataja mashindano ya Mpira wa Miguu katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo hilo Babutale kuwa yamekuwa chachu ya hamasa kwa wananchi wakati wa zoezi la kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa lililofanyika Oktoba 11 - 20, 2024.

Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Nyuzi za Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

DC Kilakala ametoa pongezi hizo Novemba 2, 2024 katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki muda mfupi baada ya kuanza Kwa mechi ya fainali ya kombe la mashindano hayo yaliyopewa jina la Samia Cup.

Mchezo wa fainali hizo umechezwa katika viwanja vya Ngerengere kati ya Kiroka FC na Matuli FC.



 
Siku ccm ikiondoka madarakani taifa la Tanganyika litapona na mengi
 
Back
Top Bottom