Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
as long as muungano huu ni wa magumashi, there is a day utakufaNasubiria na mimi Mtanganyika kutoka Tanga, siku moja niteuliwe kuwa DC wa Chake chake Pemba, na hivyo kuwafuturisha ndugu zangu akina Makame wakati wa mfungo kama huu.
Siyo ndiyo maana halisi ya Muungano wa pande mbili!! Na kama haiwezekani kwa Mtanganyika kuteuliwa kuwa DC Zanzibar, ila Mzanzibari anaruhusiwa kuwa DC Tanganyika, basi tukubali tu tuna muungano wa hovyo wa changu changu, chako changu.