Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Huyu ni muoga tu anamuogopa lukuvi hamuwezi kwenye sanduku la kuraMkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Lumilo Hotel, Manispaa ya Iringa, Kiswaga amesema kuwa uamuzi huo umetokana na wito wa wananchi wa Isimani na nafasi iliyojitokeza baada ya Mbunge wa sasa, Mhe. William Lukuvi, kutangaza mwaka 2020 kuwa hatogombea tena ifikapo uchaguzi wa mwaka huu.
“Nina dhamira ya dhati kulitumikia Jimbo la Isimani. Mheshimiwa Lukuvi mwenyewe alitangaza kuwa hatagombea tena mwaka 2025, na ninasimama kwa ujasiri mkubwa kuchukua kijiti na kuendeleza maendeleo,” alisema Kiswaga mbele ya waandishi wa habari.
Akiendelea kufafanua, Kiswaga alisema kuwa mwaka 2022 aliitwa na Lukuvi jijini Dodoma, ambapo walizungumza kwa kina, na Lukuvi alimueleza kuwa amehudumu kwa zaidi ya miaka 30 na hatakuwa tena kwenye kinyang’anyiro cha ubunge.
“Kama ni kweli kwamba anapenda maendeleo ya Jimbo hili, basi kwa maslahi mapana ya wananchi wa Isimani, ni vyema akaheshimu kauli yake na kustaafu kwa hiari. Vinginevyo, wananchi wamesema wako tayari kumstaafisha kwa lazima kupitia sanduku la kura,” aliongeza Kiswaga.
View attachment 3354666
Hawa ndio viongozi ccm inapenda😃Miaka 30 bungeni lakini Isimani ndio inaongoza kwa umaskini Iringa
Watu wanapiga panapo uma ili ulie vizuri.Mzee Lukuvi wangemuacha kidogo, ana msiba kwake. Wa mdogo wake Xavier Lukuvi.
Siasa ni ngumu sana kwa vijana tunaokuaMkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Lumilo Hotel, Manispaa ya Iringa, Kiswaga amesema kuwa uamuzi huo umetokana na wito wa wananchi wa Isimani na nafasi iliyojitokeza baada ya Mbunge wa sasa, Mhe. William Lukuvi, kutangaza mwaka 2020 kuwa hatogombea tena ifikapo uchaguzi wa mwaka huu.
“Nina dhamira ya dhati kulitumikia Jimbo la Isimani. Mheshimiwa Lukuvi mwenyewe alitangaza kuwa hatagombea tena mwaka 2025, na ninasimama kwa ujasiri mkubwa kuchukua kijiti na kuendeleza maendeleo,” alisema Kiswaga mbele ya waandishi wa habari.
Akiendelea kufafanua, Kiswaga alisema kuwa mwaka 2022 aliitwa na Lukuvi jijini Dodoma, ambapo walizungumza kwa kina, na Lukuvi alimueleza kuwa amehudumu kwa zaidi ya miaka 30 na hatakuwa tena kwenye kinyang’anyiro cha ubunge.
“Kama ni kweli kwamba anapenda maendeleo ya Jimbo hili, basi kwa maslahi mapana ya wananchi wa Isimani, ni vyema akaheshimu kauli yake na kustaafu kwa hiari. Vinginevyo, wananchi wamesema wako tayari kumstaafisha kwa lazima kupitia sanduku la kura,” aliongeza Kiswaga.
View attachment 3354666
Akupe nafasi sio mali yakeMkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Lumilo Hotel, Manispaa ya Iringa, Kiswaga amesema kuwa uamuzi huo umetokana na wito wa wananchi wa Isimani na nafasi iliyojitokeza baada ya Mbunge wa sasa, Mhe. William Lukuvi, kutangaza mwaka 2020 kuwa hatogombea tena ifikapo uchaguzi wa mwaka huu.
“Nina dhamira ya dhati kulitumikia Jimbo la Isimani. Mheshimiwa Lukuvi mwenyewe alitangaza kuwa hatagombea tena mwaka 2025, na ninasimama kwa ujasiri mkubwa kuchukua kijiti na kuendeleza maendeleo,” alisema Kiswaga mbele ya waandishi wa habari.
Akiendelea kufafanua, Kiswaga alisema kuwa mwaka 2022 aliitwa na Lukuvi jijini Dodoma, ambapo walizungumza kwa kina, na Lukuvi alimueleza kuwa amehudumu kwa zaidi ya miaka 30 na hatakuwa tena kwenye kinyang’anyiro cha ubunge.
“Kama ni kweli kwamba anapenda maendeleo ya Jimbo hili, basi kwa maslahi mapana ya wananchi wa Isimani, ni vyema akaheshimu kauli yake na kustaafu kwa hiari. Vinginevyo, wananchi wamesema wako tayari kumstaafisha kwa lazima kupitia sanduku la kura,” aliongeza Kiswaga.
View attachment 3354666
Sio DC tena Kwa sababu ameamua kugombeaWaleta mada jamani mnatuchanganya, mbona jina la Kiswaga halisomeki kwenye mfumo kama ni DC Monduli? Kwani hamjui kama amekwishatenguliwa
Lukuvi anajitia aibuMkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Lumilo Hotel, Manispaa ya Iringa, Kiswaga amesema kuwa uamuzi huo umetokana na wito wa wananchi wa Isimani na nafasi iliyojitokeza baada ya Mbunge wa sasa, Mhe. William Lukuvi, kutangaza mwaka 2020 kuwa hatogombea tena ifikapo uchaguzi wa mwaka huu.
“Nina dhamira ya dhati kulitumikia Jimbo la Isimani. Mheshimiwa Lukuvi mwenyewe alitangaza kuwa hatagombea tena mwaka 2025, na ninasimama kwa ujasiri mkubwa kuchukua kijiti na kuendeleza maendeleo,” alisema Kiswaga mbele ya waandishi wa habari.
Akiendelea kufafanua, Kiswaga alisema kuwa mwaka 2022 aliitwa na Lukuvi jijini Dodoma, ambapo walizungumza kwa kina, na Lukuvi alimueleza kuwa amehudumu kwa zaidi ya miaka 30 na hatakuwa tena kwenye kinyang’anyiro cha ubunge.
“Kama ni kweli kwamba anapenda maendeleo ya Jimbo hili, basi kwa maslahi mapana ya wananchi wa Isimani, ni vyema akaheshimu kauli yake na kustaafu kwa hiari. Vinginevyo, wananchi wamesema wako tayari kumstaafisha kwa lazima kupitia sanduku la kura,” aliongeza Kiswaga.
View attachment 3354666
Kabla ya kujitia aibu inatakiwa wamuaibisheLukuvi anajitia aibu
Na wa Kongwa nae anatia Aibu!Lukuvi anajitia aibu
Old fashioned leaders wanapaswa kupumzika,the like kina Ndugai,Wasira,Zungu nawengi wote ambao suluari zao ni mabwangaNa wa Kongwa nae anatia Aibu!
Xavier amefariki?????Mzee Lukuvi wangemuacha kidogo, ana msiba kwake. Wa mdogo wake Xavier Lukuvi.
Sawa, nimeona! Nimehakikisha! Pole nyingi sana kwa familia ya marehemu!Xavier amefariki?????