DC kusimamisha kiwanda chenye vibali halali. Je, limekaaje kisheria, ni kosa au?

DC kusimamisha kiwanda chenye vibali halali. Je, limekaaje kisheria, ni kosa au?

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Posts
6,346
Reaction score
6,928
Wadau wa Sheria, narejea kilicho ripotiwa katika taarifa ya habari ya Itv ya tarehe 17 May 2020.

Kimsingi aliyekuwa DC wa Hai alifungia kiwanda cha uzalishaji wa kiwanda cha vinywaji FARU JOHN kwa kilicho tamkwa hakuwa na vibali halali.

Sasa TRA wame confirm ya kuwa kiwanda icho kilikuwa kina vibali vyote halali na walikuwa wana lipa kodi.

Now wadau wa sheria je kitendo alicho fanya aliyekuwa DC lina angukiaa ktk kosa lipi kisheria ? Au ni la maadili tu
 
E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Back
Top Bottom