Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Tumealikwa hapa viwanja vya Stendi ya Mabasi Namanyere. Asilimia 75 ya hotuba yako kwenye siku ya Wanawake Duniani unaongelea Nia yako ya kumtoa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mh. AIDA KENANI.
Labda utueleze hapa, Nia ya sikukuu hii kwa wilaya ya Nkasi ni kampeni ya kumbagaza Mbunge halali aliyechaguliwa kihalali na Wananchi.
Umekosa Nidhamu ya kiuongozi Hadi kugeuza sherehe za wanawake kuwa jukwaa la mipasho Kwa Mbunge mwanamke.