DC Lijualikali wilaya ya Nkasi imekushinda

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Tumealikwa hapa viwanja vya Stendi ya Mabasi Namanyere. Asilimia 75 ya hotuba yako kwenye siku ya Wanawake Duniani unaongelea Nia yako ya kumtoa Mbunge wa Jimbo la Nkasi kaskazini Mh. AIDA KENANI.

Labda utueleze hapa, Nia ya sikukuu hii kwa wilaya ya Nkasi ni kampeni ya kumbagaza Mbunge halali aliyechaguliwa kihalali na Wananchi.

Umekosa Nidhamu ya kiuongozi Hadi kugeuza sherehe za wanawake kuwa jukwaa la mipasho Kwa Mbunge mwanamke.
 
Kwa sasa amekuwa lijuabaridi
 
Huyuhuyu jamaa na akili zake
 

Attachments

  • Screenshot_20250303_211526_X.jpg
    934.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…