Pre GE2025 DC Magoti akabidhi kipaza sauti kitangaze mikutano yake

Pre GE2025 DC Magoti akabidhi kipaza sauti kitangaze mikutano yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Vitu vingine mpaka vinachekesha, ni zaidi ya vituko!:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:

=====
Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amekabidhi kipaza sauti kwa Mkazi wa Wilaya hiyo ili kupita kutoa taarifa ya Mikutano yake anayoifanya Wilayani humo.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025


 
Huo unaitwa ulevi wa madaraka na kukosa ubunifu hiyo pia atasema bila ya mama samia kipaza kisengepatikana!
 
Tutaendelea sana kuwaita wachina watujengea hizi barabara na madaraja.
 
Huo unaitwa ulevi wa madaraka na kukosa ubunifu hiyo pia atasema bila ya mama samia kipaza kisengepatikana!
Sura Luqman, Aya 18-19

Mwenyezi Mungu anasema:

"Wala usiwafanyie watu uso wako kwa dharau, wala usitembee duniani kwa maringo; hakika Mwenyezi Mungu hampendi kila ajivunaye, ajifaharishaye. Na uende kwa upole katika mwendo wako na ushushe sauti yako. Hakika sauti yenye kuudhi zaidi ni sauti ya punda."
(Qur'an 31:18-19)
 
Back
Top Bottom