Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amekabidhi kipaza sauti kwa Mkazi wa Wilaya hiyo ili kupita kutoa taarifa ya Mikutano yake anayoifanya Wilayani humo.
"Wala usiwafanyie watu uso wako kwa dharau, wala usitembee duniani kwa maringo; hakika Mwenyezi Mungu hampendi kila ajivunaye, ajifaharishaye. Na uende kwa upole katika mwendo wako na ushushe sauti yako. Hakika sauti yenye kuudhi zaidi ni sauti ya punda."