DC Magoti ampa onyo kali Baba Askofu anaetaka kudhulumu ardhi kwa mgongo wa dini

DC Magoti ampa onyo kali Baba Askofu anaetaka kudhulumu ardhi kwa mgongo wa dini

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
My Take
Naunga mkono hoja.Hawa matapeli waliojificha kwenye mgongo wa dini washughulikiwe.

Kwanza wao wanataka kwenda Mbinguni Kwa nini wawe wanahangaika na Mali za Duniani? 😂😂😂
---
MKuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ageuka Mbogo Mkutanoni mara baada ya Askofu kufanya udanganyifu mbele ya hadhara kuwa alitoa eneo la Hekali 05 Kwa ajili ya Shughuli za Kijamii.

Akitoa Ufafanuzi wa Sakata la Mgogoro wa eneo hilo Afisa ardhi alipinga hoja hiyo huku akimtuhumu kuwa askofu amefanya udanganyifu mbele ya DC Magoti

 
Kwa jinsi ambavyo wamejawa udini, waarabu wa mbinga umatengoni watamiminika hapa wakimpongeza DC magoti kwa kumuumbua baba askofu. Kitu kama hiki kilifanywa na same DC kwa yule sheikh mtesa watoto waliminika hapa kama mchwa kulialia hahahaa. Keep it on Magoti
 
Back
Top Bottom