Kwanini asitaman Ajenge Hotel au Kiwanda?
Kwanini asitaman Ajenge Hotel au Kiwanda?
Ndio sehemu za waislam wengi wanapendekeza Rais anapoteua aangalia hili, akipeleka mkiristo wengine huumia wakiona misikiti na kuona bora na wao wawapeleke wachungaji wajenge makanisaMkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Peter Magoti, amempongeza Mtume Boniface Mwamposa kwa huduma yake ya kiroho na misaada anayoitoa kwa watu wenye mahitaji mbalimbali.
Magoti alisema kuwa Mtume Mwamposa amesaidia watu wengi wenye shida mbalimbali na kutokana na mchango wake mkubwa, alimwomba kuja Kisarawe kujenga nyumba ya ibada ili kusaidia waumini wa eneo hilo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Amesitiza kuwa uwepo wa nyumba ya ibada utaimarisha imani na kusaidia kuendeleza shughuli za kiroho kwa wakazi wa Kisarawe.
Unawajua Wazaramo wa Kisarawe?Kwanini asitaman Ajenge Hotel au Kiwanda ?
Chakula wanakuomba wewe?Unawajua Wazaramo wa Kisarawe?
Hata kulima wakati wa masika lazima migambo ipite mtaani kulazimisha watu waende shamba, sasa viwanda nani atafanya kazi?
Ukiwekeza Kisarawe ni kwa hasara yako
Na watukuyu awaombe masheikh wakajenge misikitinimemwelewa kisarawe kama kibiti vile ,na inaweza ikawa kibiti mpya ,mwamposa nenda kajenge
We ni mkuu ndugu yanguKwanini asitaman Ajenge Hotel au Kiwanda ?