Tetesi: DC Magoti kuhamishiwa Ngorongoro

Mr Mpechempeche , DC dogo dogo asiye kifaani..Mzee wa Kisaaaarawe
 
Kasome msimamizi wa ardhi ya Tanzania ni nani? Wengine wote mnapangishwa (lease) kwa Miaka kadhaa, 33, 99.
Kwenye hii nchi asilimia 90 wanaishi kienyeji hata hiyo lease ya miaka kadhaa hawana
 
Siyo magoti hata awe ugoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…