ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kamtaji Sasa na uombe Hali ya hewa iwe nzuriIla acheni utani, moja ya Maamuzi magumu ni kuhamia kwenye kilimo kama njia ya kutoboa kiuchumi.
na pia inahitaji muda na subra sana. Mie mwaka huu nimelima ekari 10, bila mbolea wala mbegu za kisasa nimeambulia gunia chini ya gunia 20, alizeti gunia kadhaa, mahindi gunia kadhaa na mbaazi gunia kadhaa.Ila acheni utani, moja ya Maamuzi magumu ni kuhamia kwenye kilimo kama njia ya kutoboa kiuchumi.
Hayo mashamba unalima bila kianzio si shida!Hawa ma dc vijana waliokoma uwezo wa kubuni mipango ya kuwainua vijana na kufikiri sawasawa, wanafanya makosa yanayohatarisha ajira zao wenyewe lakini pia yanayoamsha hasira za vijana dhidi ya Serikali Yao.
anaweza kuwa sahihi lakini approach Lazima iwe very positive kwenye hiyo ajira yenyewe ili kusudi hilo kundi livutike na hiyo ajira yenyewe.
saa zingine afadhali wakae kimya tu
niko pori nafyeka msitu kila ekari 1 elfu 30 kakata miti na kung'oa visiki.Hayo mashamba unalima bila kianzio si shida!
Kila la kheri mkuuniko pori nafyeka msitu kila ekari 1 elfu 30 kakata miti na kung'oa visiki.
😜hadi nikwambie nilimpiga muhindi kiasi gani kwa kubeti nikaipeleka shamba, then hali ya hewa na Kilimo kilimo holela vikanipiga mweleka?
Mwaka ujao ntajuka kuotoa ushuhuda lakini Lazima ni tusue eka20 mwaka ujao wa Kilimo.
Mi nigekushauri uishi kizombi alafu izo gunia ulizopata ziwe mtaji ulime kisasa mbolea mbegu za kisasa ila usiongeze maana eneo kubwa mavuno kidogo.na pia inahitaji muda na subra sana. Mie mwaka huu nimelima ekari 10, bila mbolea wala mbegu za kisasa nimeambulia gunia chini ya gunia 20, alizeti gunia kadhaa, mahindi gunia kadhaa na mbaazi gunia kadhaa.
Mtu mwingine hawezi endelea na kilimo kwa matokeo haya. Inahitaji ustahimilivu mno.
Jukwaa la Kilimo wamenipa maarifa mwaka ujao wa kilimo zaidi nitusue. Nimeongeza ekari 10 nyingine zimekua 20. Hii yote ni matokeo ya kubeti. Saa zingine ubeti kunasaidia ila muhindi akinunua anakupiga mwaka mzima.
Mkuu Sasa ulitegemea muujiza gani kulima bila mbolea na mbegu za Kisasa? Bora ungelima.ekari 2na pia inahitaji muda na subra sana. Mie mwaka huu nimelima ekari 10, bila mbolea wala mbegu za kisasa nimeambulia gunia chini ya gunia 20, alizeti gunia kadhaa, mahindi gunia kadhaa na mbaazi gunia kadhaa.
Mtu mwingine hawezi endelea na kilimo kwa matokeo haya. Inahitaji ustahimilivu mno.
Jukwaa la Kilimo wamenipa maarifa mwaka ujao wa kilimo zaidi nitusue. Nimeongeza ekari 10 nyingine zimekua 20. Hii yote ni matokeo ya kubeti. Saa zingine ubeti kunasaidia ila muhindi akinunua anakupiga mwaka mzima.