Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo amesema baadhi ya wataalamu wa Afya wamekuwa na kigugumizi katika kupata chanjo ya #COVID19 hali ambayo huwaondolea hamasa wananchi katika kujitokeza kupata chanjo.
Amewataka wahudumu wa Afya wawe mfano bora ili kuwahamasisha wananchi kwenda na nia ya serikali. Aidha amesema Mkoa wa Kilimanjaro ni wa pili baada ya Dar es Salaam kwa idadi ya waliojitokeza kuchanja.
Pia amethibitisha kuwa wote waliopata chanjo hadi sasa hawajapata madhara yoyote.