Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Jamaa namuomaga kama chokolaaa tuHuyu Jamaa si ni Mwanasheria? Madaraka yanalevya!
Hakuna haki, wewe unajuwa humo kwenye wanaharakati kuna Mamba na kenge huku wakijinadi maandamo ya amani hapo hapo unawasikia watatukoma, choma magari sijui tutawakata vidole na yupo yule kiongozi wa Saliva mjiandae kukimbia ni vitisho tu, sasa waache waingie barabarani ndio watajuwa nini maana ya mitandao na nini uhalisia.Haki ya mtu maana yake anaweza kuamua kuitumia au kutoitumia hivyo naye asihamasishe watu kwenda kupiga kura maana nao wana sababu zao kama walivyo wanaotaka kuandamana.
Kwahiyo wewe ni kama nani kunipangia mimi jinsi ya kufikiri na kuamua?Hakuna haki, wewe unajuwa humo kwenye wanaharakati kuna Mamba na kenge huku wakijinadi maandamo ya amani hapo hapo unawasikia watatukoma,
Jifunze kwanza kuandika ndio tujadiliane.choma magari sijui tutawakata vidole na yupo yule kiongozi wa Saliva mjiandae kukimbia ni vitisho tu, sasa waache waingie barabarani ndio watajuwa nini maana ya mitandao na nini uhalisia.
Kama hutaki kuambiwa basi ungepanga na mke wako chumbani, kwa kuwa umeamua kuweka mawazo yako humu utajibiwa humu.Kwahiyo wewe ni kama nani kunipangia mimi jinsi ya kufikiri na kuamua?
Jifunze kwanza kuandika ndio tujadiliane.
Huna uwezo wa kujadiliana na mimi .Kama hutaki kuambiwa basi ungepanga na mke wako chumbani, kwa kuwa umeamua kuweka mawazo yako humu utajibiwa humu.