Pre GE2025 DC Nachingwea awaonya wahandisi miradi kujengwa chini ya kiwango

Pre GE2025 DC Nachingwea awaonya wahandisi miradi kujengwa chini ya kiwango

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amewataka Wahandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea kusimama miradi yote kwa ubora unaotakiwa kulingana na thamani ya fedha zinazotolewa na Serikali.

Akizungumza katika ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali alisema kuwa haridhishwi viwango vya miradi mbalimbali inayojengwa katika Wilaya ya Nachingwea.

Pia soma: Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Moyo alisema kuwa wahandisi washauri wa Nachingwea hawatembelei miradi hiyo mara kwa mara na kusababisha miradi kujengwa chini ya kiwango tofauti na thamani ya fedha iliyotolewa kwenye mradi husika.
Screenshot 2025-02-17 151123.png
 
Back
Top Bottom