Ukiwa nanimani ya dini utaona ufahali kua na mwinzioNimeshangaa sn mwanaume hawezi kukuelewa kama upo busy basi ni bora tutengane kuliko kuniletea mtu wa pili
Kwa sababu huwezi kuzaa watoto toka kwa mwanaume zaidi ya mmoja kwa mpigo, ila mwanaume anaweza kuzaa na wanawake hata 10 kwa mpigo, yaan anaweza akaitwa baba wa watoto 10 ndani ya mwaka mmoja. Ni biological advantage tuliyonayo, lakini hii si sababu ya kumnyanyasa mwanamke katika jamii iliyostaarabika.Kweli mkuu. Kwanini sisi haturuhusiwi kuwa na waume zaidi ya mmoja?.
Kwani umeshikiliwa huko kwenu? Wewe nenda kwenye hiyo dini yako ya kweli.Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Yani najiona mimi kuwa mke mkubwa halafu niletewe mke mdogo sitaelewa.
Na mimi nimemtumia wife nasubiri maoni yakeNgoja nimuoneshe wife alafu nimsikilize atatoa comment gani
Hii dini nzuri sana, hii inafaa kwa starehe za hapa duniani ila kama unataka kwenda mbinguni aisee no way, Mpokee Yesu awe bwana na mwokozi wako
Ha ha ha au Mawaziri wanawake, Ila tatizo Samia kwa nafasi yake mume ni rahisi kuwe nae Muda mwingi.. Maana DC anaishi Pangani, wakati Abdul yupo Dar, anafanya kazi AzamMkuu wa wilaya tu majukumu mengi na Samia atasemaje
[emoji1] [emoji1]duh nimecheka mpaka kaushuzi kamenitokaHiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Hiyo ndio dini ya kweli sio huku kwetu eti mke moja kama pua.
Dc siku ya harusi yao 4months agoWeka picha zao tulinganishe maana huyu mpya ni kifaa cha nguvu!
unafahamu kafara? wanasiasa sio watu wa kuwa amini kabisaAtaiona pepo mwanamke anamyemkaribisha mwanamke mwenzake kuolewa na mume wake na kuishi naye katika wema.
Meanwhile.... [HASHTAG]#mrsmakame[/HASHTAG] ya june30,2017... so jamaa kaoa mjane au jamaa ndio makame mwenyewe kwamba kaoa kitu chake cha zamanDc siku ya harusi yao 4months ago
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] fanya mama uiyone pepo uepukane na moto[emoji28][emoji28]Ningekua ni mimi pepo kwa style hii hapana.