DC Pangani, Zainab Abdallah ana moyo wa pekee. Alimshauri mumewe kuongeza mke kutokana na yeye kuwa busy na majukumu

Wazigua wanatokea Tanga, nikajua wewe Mzigua90 ndo umepata hii neema ya kushea jihogo la Jang'ombe na Mh mkuu wa wilaya!!!

Nyoka kajipatia mashimo mawili ndani ya Ikulu ndogo ya wilaya! Ha ha ha haaaa....
Kwamba mkuu wa wilaya akicome anatoa hela au?
 
Hii imenikumbusha kuna dada mmoja dini sawa na DC aliwahi mshauri mumewe amuoe rafiki yake (rafiki wa mkewe) ili kumuepusha kuruka ruka hovyo, kwa maana alikuwa hajatulia, leo yupo na mwanaume huyu kesho yupo na yule. Mume nae akaridhia.
Inataka moyo
 
Kama ukuu wa wilaya imekuwa na kazi nyingi kiasi cha kufanya mmewe aongeze mke ajabu angekuwa makamu wa rais si angeoruhusu mmewe awe na wake 8
 
Huyu Mama ana akili sana, ana staha, ana heshima, anajiamini, anajielewa, ataishi maisha ya furaha sana, anajuwa sasa wako 2 kulinda mzigo, ni kati ya wanawake wachache sana waliobarikiwa kipaji cha kuwa na busara, kuona mbali, kesho tu mtamsikia makamu wa rais kama siyo rais..
Be blessed 🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂
Ingependeza wake zetu waige mfano huu, immediately...ASAP...
 
Mi kweli sifai maana nitamkaba mume wetu. Nina wivu sanaa
 
Unataka kuhamishwa nyumba naona. Maana hataelewa kama unamuonyesha tu atajua tayari yupo unataka kumuupgrade awe wife number 2
mzigua90 shida ipo wapi sasa ili hali dini yetu inasema hivyo....ungekuwa kwetu huku ungefanyaje????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…