Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Hatimaye Salma kaolewa...
God is good all day everyday.
Hapana. Zainab mwenyewe alishahama nyumba mke wa katikati hakai nae pia maana baada ya kumbadilisha dini na kumuoa kwa siri na kumpa mimba ilivyofika miezi sita akamwambia atoe wakashindwana hapo ndo akamvuta tena bibie Salma.Anaishi na wake zake hao wawili nyumba moja!?
Kumbe anao bwana da Mange kasemahuyu dc naye ana yake tu ana majukumu gani mazito ya kusababisha amshauri mume aoe,akiwa wazir huyu si atataka ndoa ivunjike,mi nafikili naye kapata kamchepuko huko kwa watawala sasa anataka zaidi uhuru
Sawaa maana wanawake tunawajua vzr huo moyo hawanaga kqbsa hata kama mfia dinHajazaa hana mtoto ila inasemekana ana mimba
Hakunaga issue kama kushare mtu akazifurahia ni maigizo tuu ila moyo unaumaaqNdo nashangaa wanahalalisha kwa kigezo cha dini. Wanacheza na moyo hawa.
hivi mtu akiwa mshirika wa ule mchezo wa jinsia moja anaweza akapata hamu ya kugegedana na mwanaume na kuvuta hisia je anaweza akazaa watoto wengi kama wengine au lazima apate tiba flan ya kisaikolojia.Sio mwanaume sema ni mshirika wa ile michezo ya jinsia moja
Itakua. Sababu wengi wanafanyia mkumbo tu na kuiga.hivi mtu akiwa mshirika wa ule mchezo wa jinsia moja anaweza akapata hamu ya kugegedana na mwanaume na kuvuta hisia je anaweza akazaa watoto wengi kama wengine au lazima apate tiba flan ya kisaikolojia.
Kabisa hyo danganya Toto.Ye mwenyewe anazuga tu ila kaumia.