likandambwasada
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 5,402
- 6,081
umenisusa sanaaHahahahahaaa.
cha asubuhi kizuri.....
Hakika nawaambieni kweli nyie wanawake ni heri muwe wawili watatu ili msaidiane ulinzi na kumchosha mume wenu kuliko ukiwa peke yako. Utakuwa unajidanganya tu nafsi yako kuwa uko peke yako lakini hakuna mume wa peke yako duniani.Mimi hiyo Pepo ingenipita, maana huo moyo sina.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
huyu dc mwenyeww kutwaaa instagram...kupost kupost kupost..show of nyiingi....ataachaje kusaidiwa...umri nao sa ingine kwa viongozi uwe kigezo..km huyu utoto haujamtoka...juzi tu kafanya photoshoot ya birthday[emoji36] [emoji36] [emoji36]