Lumumba wanamsaidia kijana kutafuna mama sasa imebidi kijana ajiongezeeWengi huwa wanavunja wenyewe ila hii Zainab ni mhanga. Van hafai kwa mchuz wala kulumangia.
Wengi huwa wanavunja wenyewe ila hii Zainab ni mhanga. Van hafai kwa mchuz wala kulumangia.
point yangu ni kwamba.. Mume akiona nimemruhusu kirahisi rahisi namna hiyo aniletee mwenzangu, itabidi ajiulize maswali mengi sana... mojawapo ni nani anayemsaidia yeye kutimiza majukumu yake kwangu, siku akiwa zamu kwa bi mdogoNani atakaekuwa anakukuna huko kwenye majukumu?
Siku UDC ukiisha na kujikuta hana majukumu mengi itakuwaje?Ye mwenyewe anazuga tu ila kaumia.
Hapana jamani sijawahi kuwa nae ila alichomfanyia Zainab na Aggy ndo kimeniumiza kama mwanamke. Huwezu kumchukua mtoto wa watu umbadilishe dini umbebeshe ujauzito halafu ufike miezi sita umwambie akatoe kwa sababu tu unataka kuongeza .ke mwingine wa tatu. Sio ubinadamu huo.we mzigua ushawahi kuwa na uhusiano mr abdul? maana sio kwa povu hili, tena inaonekana povu la wivu ....inaonekana imekuuma sana kuliko hta mwenye mali hebu declare your interest kwa mr abdul ili tuweke mizani sawa
Mwanaume mwenye akili atashtuka. Ila mjinga atakuona una dini kweli kumbe na wewe unamuweka mbali ujilie vizuri vitu vyako.point yangu ni kwamba.. Mume akiona nimemruhusu kirahisi rahisi namna hiyo aniletee mwenzangu, itabidi ajiulize maswali mengi sana... mojawapo ni nani anayemsaidia yeye kutimiza majukumu yake kwangu, siku akiwa zamu kwa bi mdogo
Hahahahaha......no more comments!Ndo ataenda kuolewa sasa.
Sura siyo roho wewe,,,Ataiona pepo mwanamke anamyemkaribisha mwanamke mwenzake kuolewa na mume wake na kuishi naye katika wema.
Ukipata hamu unajiongezea mme ktk eneo lako la majukumu au utampigia simu mme akufuate huko huko?point yangu ni kwamba.. Mume akiona nimemruhusu kirahisi rahisi namna hiyo aniletee mwenzangu, itabidi ajiulize maswali mengi sana... mojawapo ni nani anayemsaidia yeye kutimiza majukumu yake kwangu, siku akiwa zamu kwa bi mdogo
Kama mtu habadili tabia anaendelea kupiga tu game nje ya uwanja.Ukiacha suala la dini yake kuruhusu ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila kumkaribisha mke mwenzio hadharani hivi ni ushujaa uliotukuka. Hongera bi Zainab kwa kukubali mwenzio nyumbani.
View attachment 699033
View attachment 699031
Na nyie wengine mloolewa fanyeni kama Zainab mtupunguze tusio na ndoa mtaani.
Kwa imani yako ni kweli,ikiishi naye kwa wema!je wema ni nini?sio sura ni roho!Sura siyo roho wewe,,,