LGE2024 DC Petro Magoti: Waliokosa nafasi za kuiwakilisha CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa acheni nongwa na fitina

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti ambaye pia ni Kamisaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amewasihi wanachama wa CCM waliokosa uteuzi kugombea nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa katika uchaguzi wa Novemba 27, 2024, kuacha 'makandokando' na fitina badala yake waungane pamoja kuwatetea na kuwaombea kura wanachama wa CCM walioteuliwa na kuchukua fomu za kuwania nafasi za uongozi wa Serikali za Mitaa.

Magoti ameyasema hayo akizungumza katika Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Kisarawe, kilichoketi kufanya tathmini kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa hapo baadaye Novemba 27, 2024.

Your browser is not able to display this video.
 
Vitto Ferrari katika ubora wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…