Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Sasa kama ulinzi si wafuge hata mbwaEeeeee fisi anafugwa kwa matumizi yapi
Ulinzi au kuna mengine
Ngoja waje watu wa bariadi walitolee ufafanuzi kwann fisi na si mbwaSasa kama ulinzi si wafuge hata mbwa
🤣🤣🤣Fisi alivyo mfupi mnampanda vipiFisi kwetu kanda ya ziwa na vitongoji vyake ni dili usafiri pendwa unaotumiwa usiku wa manane kwa ajili ya ulozi do ni ngumu kumaliza hilo tatizo
kwa ukanda huo fisi anatumika vibaya mno usishangae kupanda fisi🤣🤣🤣Fisi alivyo mfupi mnampanda vipi
🤣🤣 ALIBAKI SALAMA KWELI BAADA YAkwa ukanda huo fisi anatumika vibaya mno usishangae kupanda fisi
Kuna jamaa yangu mmoja aliopoa demu kipindi nipo bariadi alikuwa kila akikutana naye alikuwa anapenda kuliwa kizani nara utakuta kwenye kaopori usiku au akienda geto kabla hajamaliza kuvua nguo kazima taa
Jamaa kila akija kunisimulia alivopiga shoo anaanza na kunambia kwamba ile kuzima taa mzee nikaanza mizagamuo ssa mie nikamtania demu gani huyo hazagamuliwi bila kuzima taa unawezaje kusifia uumbaji wa mungu na wakati hata trako lenyewe unaona kiza
Kumbe jamaa lile neno alilizingatia siku mkeka ukatiki tena demu akakutana naye geto kama kawaida kabla hajamaliza kutoa nguo demu kaebda kuzima taa jamaa alimwambia aache taa iwake lakini sababu zikawa ni nyng akzima taa akaanza shoo piga piga akasema leo nataka nione yaliyomo yamo akavuta simu yake akawasha tochi alichokiona mpaka leo haamini kumbe yule demu alikuwa na maumbile ya fisi dunia ni ya ajabu kila mtu na sayansi yake
Hakudhurika baada ya kufatilia ni michezo yao watoto wa kisukuma anakufanyia hivyo ili unogewe ajipatie pesa za bure we unjua unpga shoo kumbe mwebzio yupo nyumbn anapika amekuacha wwe unahabgaika na fisi🤣🤣 ALIBAKI SALAMA KWELI BAADA YA
YA KUMGUNDUA
ILIMCHUKUA MUDA GANI KUANZISHA MAHUSIANO MENGINE
MAANA ITAKUWA ILIMUATHIRI KISAIKOLOJIA NA HOFU
🤣🤣🤣😅 pole yake hayo ni matokeo ya tamaa unajigi na fisi bila matarajioHakudhurika baada ya kufatilia ni michezo yao watoto wa kisukuma anakufanyia hivyo ili unogewe ajipatie pesa za bure we unjua unpga shoo kumbe mwebzio yupo nyumbn anapika amekuacha wwe unahabgaika na fisi
Ilimchukua muda ila yupo mpaka leo nikimkumbushia anafurahi mno
Hyo ni sayansi ya ulozi🤣🤣🤣😅 pole yake hayo ni matokeo ya tamaa unajigi na fisi bila matarajio
Hivi sikuzote hakuhisi anachokipakata kinamanyoya