DC Tanganyika aagiza Wakulima wa Tumbaku walipwe haraka iwezekanavyo fedha zao

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi, Onesmo Buswelu ameuta uongozi wa Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati kulipa haraka malipo yaliyocheleweshwa ya Wakulima wa zao hilo.

Buswelu amesema kuwa leo Jumatano Mwezi August, 2025, jua linapochwea Wakuliwa wawe wamepata fedha zao kwani sababu zilizotajwa kuchelewesha malipo hayo hazina mashiko.

Your browser is not able to display this video.
Hatua hiyo imekuja baada ya malalamiko ya awali ya Wakulima kuhusu malipo yao, zaidi bofya hapa ~ Wakulima wa tumbaku Mpanda Kati walalamikia makato ya 3% na kutolipwa fedha zao

Pia soma ~ Zaituni Tembo: Kweli hatujawalipa Wakulima wa Tumbaku, kwa sasa hivi tuna Bima ya Mkopo kutoka Benki ya NMB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…